Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hawa Ghasia kimemkuta nini? Mbona alikuwa ni mtu safi tu kipindi ni Mbunge wa Mtwara vijijini?
CCM angalieni sana watu wa kusemea chama chenu.
Nimewaza sana mwanaume angeinuka na kusema kitu kama hiki wafeminia wangehemka kiasi gani
============================================
Akizungumza hivi karibuni pale Clouds FM Hawa Ghasia ambaye alikuwa ni Mbunge wa zamani wa Mtwara Vijijini na ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT - Taifa amesema kuwa anatamani kuona Rais anyefuata ni mwanamke