Elections 2010 Mjumbe wa wana Reading kwenye mkutano wa CCM Dodoma

Bwana Hassan Hamis Hafidhi wa CCM Northampton ameamua kugombea jimbo la Amani Zanzibar!

Tupeni data ya huyu Kilaza wa kizenji!
 
Nimeangali testimony ya hawa vilaza kwenye blogu ya michuzi na kuiweka kwenye UTUBE.
It is beggars belief kujidai kuwa wanataka kuleta maendeleo ya wananchi kwa kugombea ubunge.

Kibogoyo anagombea jimbo la Muleba Kaskazini
George Mwakalinga jimbo moja huko Iringa

Ndio maana nchi yetu inakwenda nyuma,kama hawa vilaza wakichaguliwa kwenye bunge !
 
Waje tu ili washindwe na hela zao ziliwe pia wasisahau wanaweza kuwa na kesi ya kujibu takukuru
 

mhhh!!!! Mmakonde, kama unovyojiita, umeshaanza na watu wako wa reading, nimechoka sasa na post zako za watu wa reading, hatupumziki, wewe utaenda lini ukatangaze nia ili tukupatie kula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…