Nitafanyia kazi haya maelekezo yako kesho...ππ»ππ»ππ»ππ»Matumizi ya Chumvi ya Mawe (Chumvi ya Mabonge): Chumvi huaminika kuwa na uwezo mkubwa wa kusafisha nishati hasi na kufukuza nguvu za giza.
Wengi huichanganya na maji na kuinyunyizia kwenye pembe za nyumba, madirishani, na milangoni huku wakisema maneno ya kukataa uwepo wa nguvu yoyote mbaya.
Unauzwa duka la dawa za asili au?Tumia Hii
Hassad Guard ni aina ya udi maalumu (incense) unaotumika sana katika imani za kiroho, tiba mbadala, na mambo ya kijadi kwa ajili ya ulinzi na kusafisha nishati
Walokole tunaita kamera za wachawi πMjusi mpiga chabo huyoπ
Unaniona nikikandwa π
Wamwagie maji ya chumvi washenzi mno haoπKwangu wapo kibao kila siku nina operation ya kuwauwa nimenunua manati basi kila siku nawatungua balaa sijui nina nini nikiwaona tuu nasisimka mwili mzima
Nimechoka na hawa mijusi wa rangi kama ya khaki.....kila muda wapo ukutani mara waanguke, wafie milangoni......Nitafanyia kazi haya maelekezo yako kesho...ππ»ππ»ππ»ππ»
Nenda mtaa wa Nyamwezi, Kariakoo katika maduka ya dawa za Kisuna, au Ilala Bungoni, mtaa wa Sharifu Shamba, nyumba namba 3.Unauzwa duka la dawa za asili au?
Hawa Mojusi wanajulikana kama ShigonaKatika ulimwengu wa siri na mambo yasiyoonekana, mjusi si kiumbe wa kawaida bali ni chombo kinachotumiwa kama daraja la kusafirisha nguvu za giza na gono la wachawi.
Sauti zao za usiku za "gubu gubu" pale wanapogonga vichwa vyao kwenye dari hazichukuliki kama kelele za kawaida, bali huaminika kuwa ni nambari za siri (morse codes) za kiroho zinazowasilisha ripoti za kile kinachoendelea ndani ya nyumba kwenda kwa wakuu wa anga.
Mijusi hawa, hasa wale wa kijivu na wakubwa wanaokomaa ndani ya nyumba, hutafsiriwa kama
"mashushushu wa ulimwengu wa giza" au macho ya kipepeo yanayotumiwa na wabaya kufuatilia siri zako, nyendo zako, na hata kupunguza baraka za kiuchumi (chuma ulete).
Inasemekana kuwa kiumbe huyu anapokugusa au kukudondokea ghafla kutoka juu, huwa ameachia nuksi, mikosi, au ameweka alama ya kiroho ili uweze kufuatiliwa kwa urahisi kwenye ulimwengu wa roho, jambo linalofanya uwepo wao maeneo ya siri kama vyumbani kuhofiwa kuwa ni ishara ya kuta kurekodi kila siri ya maisha yakoView attachment 3668661
Hata Maji ya Baraka Kanisani huwekwaga ChumviKatika imani za kijadi na kiroho, kuna mbinu mbalimbali zinazotumiwa na watu wengi ili kufukuza, kukata mawasiliano ya kiroho, au kuvunja nguvu za giza zinazoaminika kubebwa na viumbe hawa.
Matumizi ya Chumvi ya Mawe (Chumvi ya Mabonge): Chumvi huaminika kuwa na uwezo mkubwa wa kusafisha nishati hasi na kufukuza nguvu za giza.
Wengi huichanganya na maji na kuinyunyizia kwenye pembe za nyumba, madirishani, na milangoni huku wakisema maneno ya kukataa uwepo wa nguvu yoyote mbaya.
Kufusha Udi au Ubani:
Moshi wa udi au ubani maalum wa kiroho hutumiwa kufukuza roho chafu na kusafisha anga la nyumba.
Inaaminika kuwa viumbe wanaotumwa kishirikina hawawezi kuvumilia harufu na nishati safi inayotokana na moshi huo.
Matumizi ya Mafuta ya Upako au Maji ya Baraka:
Kwa wenye imani za kidini (kama Ukristo au Uislamu), hutumia maji yaliyofanyiwa maombi au mafuta ya upako kupaka kwenye maeneo ambayo mijusi hawa huonekana mara kwa mara, wakiamini uwepo wa Mungu unaharibu mamlaka yote ya giza.
Maneno ya Tamko na Maombi ya Kukemea:
Kuomba na kutamka maneno ya mamlaka (kama kukemea roho za ushushushu, ufuatiliaji, na chuma ulete) kuta itakaporuhusu kuvunja "connection" ya kiroho iliyowekwa kati ya mjusi huyo na aliyemtuma.Kusafisha na Kung'oa Maficho
Kijadi:
Kijadi, nyumba ikihisiwa ina nishati mbaya, inashauriwa kuondoa vitu vya kale vilivyorundikana vyumbani (kama nguo za zamani au maboksi), kwa sababu giza na vitu vilivyokufa huvutia roho hizo
Katika uislamu, kuua mjusi wa nyumbani (al-wazagh) kwa pigo la kwanza kunaandikiwa thawabu mia moja, huku mapigo yanayofuata yakipata thawabu chache zaidi.Hao mijusi mmerusiwa kuwauwa msiwaache.
Katika hadithi iliyopokelewa na Abu Hurairah na kurekodiwa katika Sahih Muslim, Mtume (SAW) alisema:
Yeyote anayeua mjusi kwa pigo la kwanza, ataandikiwa thawabu mia moja, na katika pigo la pili (atapata) pungufu ya hizo, na katika pigo la tatu (atapata) pungufu ya hizo.