Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,685
Tunacheza na fursa! Kulingana na joto kuongezeka mjini vinywaj baridi vimekuwa katika uhitaji mkubwa. Niliwaza kuwa na friza lakini nikagundua mali iliyoko haitamtamanisha mpita njia kwa maana hayana kioo, nikawaza yale ya makampuni ya vinywaji ambayo unapewa kwa masharti ikiwa ni pamoja na kuto kuchanganya vinywaji vya makampuni mengine.
Hili lenye milango mitatu ndilo lililoko akilini mwangu kwa sasa ila sijajua changamoto zake ukilinganisha na mengine.
Hili lenye milango mitatu ndilo lililoko akilini mwangu kwa sasa ila sijajua changamoto zake ukilinganisha na mengine.