MK Music Gallaxy- Kulikoni?

MK Music Gallaxy- Kulikoni?

Status
Not open for further replies.

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
2,257
Reaction score
363
I must admit kuwa toka hiyo site ya MK Gallaxy itangazwe kwa michuzi, nimekuwa addicted nayo, wana collection nzuri sana ya zilipendwa, kuna nyimbo za Marquiz original, Bima Lee, Nguza Vickings, etc , yani tunes flani ambazo nilikuwa sijazisikia zaidi ya miaka hata 20! Ghafla hii site imepotea hewani toka juzi, kuna mwenye taarifa kipi kimewasibu hawa mabwana?
 
Naona majibu yametolewa kwa Michuzi- i guess ni baada ya wahusika kuona query yangu hapa.
Nashukuru.

MICHUZI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom