Mkaa bure sio sawa na mtembea bure

Mkaa bure sio sawa na mtembea bure

mdanganyika__

Member
Joined
Dec 12, 2018
Posts
12
Reaction score
34
Jana katika pitapita yangu mitaa ta Kinondoni ninekutana na dada mmoja wa kichaga ambaye tulikua tunafamiana kwa muda mrefu. Baada ya salamu na stori mbili tatu kuna vitu akaanza kufunguka kuhusu maisha ya biashara hasa inayohusiana na vifaa vya shule.

Nimejifunza mengi sana na kibaya zaidi nimeamua kuiba moja ya idea yake. Nitakuja kumuomba msamaha siku moja ila kwa sasa acha nikaifanyie kazi kwanza.
 
Unapoteza mda wako kuandika pumba.
 
To you Anko kon na Vitalis,

This is where everyone is free to talk . Usimpangie mtu cha kuandika
 
Jana katika pitapita yangu mitaa ta Kinondoni ninekutana na dada mmoja wa kichaga ambaye tulikua tunafamiana kwa muda mrefu. Baada ya salamu na stori mbili tatu kuna vitu akaanza kufunguka kuhusu maisha ya biashara hasa inayohusiana na vifaa vya shule.

Nimejifunza mengi sana na kibaya zaidi nimeamua kuiba moja ya idea yake. Nitakuja kumuomba msamaha siku moja ila kwa sasa acha nikaifanyie kazi kwanza.

Kwahiyo unataka kusema.?
 
Back
Top Bottom