mdanganyika__
Member
- Dec 12, 2018
- 12
- 34
Unapoteza mda wako kuandika pumba.Jana katika pitapita yangu mitaa ta Kinondoni ninekutana na dada mmoja wa kichaga ambaye tulikua tunafamiana kwa muda mrefu. Baada ya salamu na stori mbili tatu kuna vitu akaanza kufunguka kuhusu maisha ya biashara hasa inayohusiana na vifaa vya shule.
Nimejifunza mengi sana na kibaya zaidi nimeamua kuiba moja ya idea yake. Nitakuja kumuomba msamaha siku moja ila kwa sasa acha nikaifanyie kazi kwanza.
Jana katika pitapita yangu mitaa ta Kinondoni ninekutana na dada mmoja wa kichaga ambaye tulikua tunafamiana kwa muda mrefu. Baada ya salamu na stori mbili tatu kuna vitu akaanza kufunguka kuhusu maisha ya biashara hasa inayohusiana na vifaa vya shule.
Nimejifunza mengi sana na kibaya zaidi nimeamua kuiba moja ya idea yake. Nitakuja kumuomba msamaha siku moja ila kwa sasa acha nikaifanyie kazi kwanza.