comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Hii kampeni yenu mngetaka ifanikiwe mgefanya mnavyojua bei ya gesi ishuke, Kwa mtungi mdogo iwe 15000 kama kipindi cha MUHESHIMIWA, RAIS, DAKTARI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, yeye aliwezaje?
Matumizi ya kupikia kwaa Gesi na Umeme bado ni vitu LUXURY! bei zipo juu Sana huwez kumshawishi mtu aache kupikia kuni aingie mahasara yasio na maana.
Watanzania kuna sehemu tumekosea hii ni kama adhabu tunapewa.
Naskia haya majiko yanatoa Moto wenye picha ya Mama.