comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Hawa jamiiforums wasije watafuta Uzi huu nao siwaelewagiCCM akili zao hazina akili.
Hii kampeni yenu mngetaka ifanikiwe mgefanya mnavyojua bei ya gesi ishuke, Kwa mtungi mdogo iwe 15000 kama kipindi cha MUHESHIMIWA, RAISI, DAKTARI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, yeye aliwezaje?? Matumizi ya kupikia kwaa Gesi na Umeme bado ni vitu LUXURY! bei zipo juu Sana huwez kumshawishi mtu aache kupikia kuni aingie mahasara yasio na maana.
View attachment 3235352
Watanzania kuna sehemu tumekosea hii ni kama adhabu tunapewa.
Naskia haya majiko yanatoa Moto wenye picha ya Mama.
Shida kampeni Yao nahisi waliianzisha bila kujipanga no kama vile imefocus kidogo kwa watu wa mijini (kwa asilimia kidogo sana) maana uwe hamasisha matumizi ya gesi na umeme wakati unazidi kuvilimbikizia makodi yanayopelekea mtumiaji wa mwisho kuipata kwa gharama kubwa kuliko mkaa na Kuni.
Muhindi WA kuchoma? 🤣🤣yaaan hawajui utam wa wali wa kupikiwa kwa mkaa?
Na nyama tutachomaje sasa ,wehu hawa aiseee
Eti tuchome mahindi kwa gesi?Pandeni miti nyieMuhindi WA kuchoma? 🤣🤣
Vipo grill za gas na umeme Ila shida bado IPO pale pale he hizo gas na umeme zinaendana na hali ya soko?yaaan hawajui utam wa wali wa kupikiwa kwa mkaa?
Na nyama tutachomaje sasa ,wehu hawa aiseee
Zikishuka bei ata hizo wanazogawa Bure hawatazigawa tena watu watazinunua wenyeweKweli kabisa ilitakiwa walegeze kidogo upande huo wa hizo nishati Gesi na Umeme, bei ya unit ishuke waone kama wasingefanikiwa
Vipo grill za gas na umeme Ila shida bado IPO pale pale he hizo gas na umeme zinaendana na hali ya soko?
Ukikataza mkaa na kuni maana yake umekataza tuzipande miti.Hawa jamiiforums wasije watafuta Uzi huu nao siwaelewagi