Mkaa wa kisasa kwa bei nafuu

Mkaa wa barabarani unaisha mapema.miti inayokatwa mkaa ni mapupu. Pia wauzaji wanaweka chenga nyingi.
Katika kuweka katika jiko inabidi uuvunje je unapovunja uvunjikaji wake unaridhisha picha tumeona ila bado haziridhishi ni vizuri ungeandaa demo ya video ili ifanye kwa vitendo hatua kwa hatua ili kuepusha haya maswali mkuu ambayo yanajibika kwa video mkuu na kwa urahisi zaidi
 
Hivi mbezi msakuzi ni wapi nipitie kufanya wa majaribio
Nilete mrejesho
 
Gunia kama hill roughly lina uzito wa Kg 70 na bei huwa +- 70,000.00
Kwa Mkaa wa kisasa, tutakuuzia kg 70 kwa sh 38,500

Karibuni, Mkaa ni mzuri hautoi moshi, hautoi Chechen, unawaka muda mrefu.
Nauhitaji BT Niko mkoani vipi hamna mawakala?
 

Asante kwa ushauri..naanda video nitawawekea pia
 
Hata wakijiua ila si kaz nyepesi namna hiyo, je yeye kiwanda chake kinaweza kutosheleza mji mzima ??!
 
Naona mapande ni makubwa sana.Unaonaje sazi ikawa ndogo zaidi kurahisisha upakiaji kwenye magunia ?
 
Naona mapande ni makubwa sana.Unaonaje sazi ikawa ndogo zaidi kurahisisha upakiaji kwenye magunia ?
Ni kweli...ila kuna size na shapes tofauti ukitaka kuanzia mkaa mkubwa hadi mdogo inategemea na matumizi...
 
Kunahitajika Mkaa gunia 500-700
Kwa bei ya shambani siyo ya middleman.. Wala ya kununulia mjini.. Nataka ukusanywe uko uko unapo chomewa nikauchukue mwenyewe bei ni kati ya 15,000/= mpaka 17,000/= ndio nitakayo inunulia
 
Kwa bei ya jumla (gunia 10 kwenda mbele) ninauza sh 13,750 kwa gunia la 25 kg...
Sh 2,400 kwa gunia la 4kg na sh 9000 kwa gunia la 15kg. Karibu sana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kua uyaone gunia la kilo 4?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…