Mkaazi wa Zanzibar anaeshughulika na Mwani anatakiwa

Swordfisher

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
233
Reaction score
37
Jamani wana JF kama kuna Mkaazi wa Zanzibar anaejishughulisha na zao la Mwani naomba ani PM Tuzungumze.
 
Unajua wakulima wengi ni watu wa vijiji vya karibu nap wani,na mwani sio kama mpunga kwamba utalimisha.
Kwa Zanzibar wanalima wao wenyewe na mostly 98% ni kina mama.
Kuna vyama vya ushirkina amabvyo wamejiunga ndio wanauza,ila pia wapo mmoja mmoja wanauza,lengo la kujiunga ilikuwa ni kupata soko.
Sasa inategema ntaka mwani:
-Mkavu kama ulivyo
-Uliosagwa(unga)

Fafanua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…