goodwillmaths
Member
- Mar 3, 2017
- 22
- 19
Wewe utakuwa 95 tuu1)barafu (mzee wa bombadia)
nilidhani ni 50-60 ila nahisi ni 30-40
2)Mshana(Dr Leakey wa Uchawi) 40-50
3)Mzigua 20-30
4)Sky eclat ( anayejifanyisha wa mtogole) 40-50
Weka list yako
Kwamba umri wangu ni A yenye afya?
TOPIC CLOSEDWengi waliojiunga kuanzia 2009 kurudi nyuma most of them wako late 30s kwenda juu
Waliojiunga kuanzia 2010 mpaka 2014 wengi age yao ni late 20s to early 30s
Waliojiunga kuanzia 2015 up to now, wengi wako early au mid 20s
Note: this does not apply to all members, but to most of them it probably does
Sema hakyaMunguTOPIC CLOSED
kwani uongo babe??Sema hakyaMungu
We utakua una miaka 45 babekwani uongo babe??
Hence shown...and thread is closedWengi waliojiunga kuanzia 2009 kurudi nyuma most of them wako late 30s kwenda juu
Waliojiunga kuanzia 2010 mpaka 2014 wengi age yao ni late 20s to early 30s
Waliojiunga kuanzia 2015 up to now, wengi wako early au mid 20s
Note: this does not apply to all members, but to most of them it probably does
unataka kuninyima nini darling??We utakua una miaka 45 babe
Wapi mesema nataka kukunyima kitu mwanaume wangu wa pekee lakini?unataka kuninyima nini darling??
hujasema kwa maneno umesema kwa namba babeWapi mesema nataka kukunyima kitu mwanaume wangu wa pekee lakini?
Sawa kibabu changuhujasema kwa maneno umesema kwa namba babe
you know number don't lie ehh
Mzigua90 anaonekana bado mbichi kabisa1)barafu (mzee wa bombadia)
nilidhani ni 50-60 ila nahisi ni 30-40
2)Mshana(Dr Leakey wa Uchawi) 40-50
3)Mzigua 20-30
4)Sky eclat ( anayejifanyisha wa mtogole) 40-50
Weka list yako