Mkadirie umri member yeyote humu

Upo sahihi kabisa Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi ma anda eitini vipi?

Uzuri wa fake ID bana unaweza kumchimba beat mzee wako na akakuambia samahani mkuu!

Nahofia tu ipo siku mtu atazama PM kwa dadaake na wakayajenga vizuri tu!

- KANA -
 
Una akili sana mkuu.Hii comment yako inafanya niwe na urahisi wa kukadiria umri wako.Maana kwa research hii umejitathimini wewe pia. Upo right though
 
Na sisi ma anda eitini vipi?

Uzuri wa fake ID bana unaweza kumchimba beat mzee wako na akakuambia samahani mkuu!

Nahofia tu ipo siku mtu atazama PM kwa dadaake na wakayajenga vizuri tu!

- KANA -
Hata si uongo wallah unakuta unabishana na mtu kumbe babu yako Mungu atunusuru
 
[emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naunga mkono hoja
 
Umeshajibu kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…