[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani katisha hajataka kutupa tabu ya kumkisia mtu...ni kuangalia kajiunga lini basi[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe 23.
Kuna kaukweli.Wengi waliojiunga kuanzia 2009 kurudi nyuma most of them wako late 30s kwenda juu
Waliojiunga kuanzia 2010 mpaka 2014 wengi age yao ni late 20s to early 30s
Waliojiunga kuanzia 2015 up to now, wengi wako early au mid 20s
Note: this does not apply to all members, but to most of them it probably does
mbona wengi wana supplementary watafaulu kweli?Wengi waliojiunga kuanzia 2009 kurudi nyuma most of them wako late 30s kwenda juu
Waliojiunga kuanzia 2010 mpaka 2014 wengi age yao ni late 20s to early 30s
Waliojiunga kuanzia 2015 up to now, wengi wako early au mid 20s
Note: this does not apply to all members, but to most of them it probably does
Ww na bitoz ni ndugu ? Au mtu mmojanasubiri mnikadirie kama unajua umri wangu piga kimya
Nipo, nipo sana, mekumiss pia
Nipo my dear! vipi ule mtandao? Bado unaendelea nao?Nipo, nipo sana, mekumiss pia
Hahahahhahaa halaf anataka anihamishe et jana ananambia atanihamisha tigo sjui atanipeleka wapi na mie nishauzoea huo mtandao kuacha siwezi hahahhahahahhahahahaj umeanzaNipo my dear! vipi ule mtandao? Bado unaendelea nao?
Umenikumbusha ma-LUGHA ya Engineering...show that.... unakata nyanga, mwisho unamalizia na hence show....
HahahahahahaaaNa sisi ma anda eitini vipi?
Uzuri wa fake ID bana unaweza kumchimba beat mzee wako na akakuambia samahani mkuu!
Nahofia tu ipo siku mtu atazama PM kwa dadaake na wakayajenga vizuri tu!
- KANA -
Hili litawacost wasiozingatia hiyo note; Kuna wakongwe waliochelewa kuja humu...labda aina ya michango inaweza kutujulisha.Yaani katisha hajataka kutupa tabu ya kumkisia mtu...ni kuangalia kajiunga lini basi[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app