ThisisDenis
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 162
- 139
Watumishi tukajiandikishe ni wajibu wetu kuiunga mkono serikali kwenye kampeni zakeSawa mkuu
Unamfokea nani?Napenda kusema kupiga kura ni siri ya mtu, kajiandikishe upunguze kufuata mikumbo.
Sawa nduguWatumishi tukajiandikishe ni wajibu wetu kuiunga mkono serikali kwenye kampeni zake
Napenda kusema kupiga kura ni siri ya mtu, kajiandikishe upunguze kufuata mikumbo.
Safari hii tumewastukia kaijiandikisheni na mpige na mjiibie kura wenyewe hatuji ng'o,
Watumishi tukajiandikishe ni wajibu wetu kuiunga mkono serikali kwenye kampeni zake