Mkaka, good looking, sweet, civilized, msomi na anaejielewa company yake inahitajika !!!

unaweza nikumbusha yatch club membership now kiasi gani?
just curious

Nillikua kwa Mbuzi mzee kule kidogo, kuna membership mbali mbali kama diving club, fishing club, yatch club na zinginezo zote chini ya DYC, sasa we curiosity yako ipo kwenye ipi?
 
Nillikua kwa Mbuzi mzee kule kidogo, kuna membership mbali mbali kama diving club, fishing club, yatch club na zinginezo zote chini ya DYC, sasa we curiosity yako ipo kwenye ipi?

both and each
if u dont mind
 
isn't it funny kwamba watu wanakuja na mabango
with conditions??

while the fact kwamba inabidi uweke bango it simply means
hauko that in demand?

Not necessarly!!! Sometimes umchoka THE NATURE OF YOUR DEMANDERS!!!!
 
isn't it funny kwamba watu wanakuja na mabango
with conditions??

while the fact kwamba inabidi uweke bango it simply means
hauko that in demand?

Women like the opposite of what they say they want until they have it and then they want the opposite of that.
 
Hahhaaaaaaaaaaa! Shark bwana! Wewe FUPA LIMEWASHINDA FISI WEWE MMBWA CHIWAWA UTALIWEZA KWELIIIII!!! WE IGA KUNYA KWA TEMBO!!! LOL! Bora hata ungekuwa GERMANSHERPHAD angalau!!!!

Madam aminia wewe!una maneno si mchezo!post zako zote lazima mwisho wa siku nitacheka!big up mama,binafsi yangu I am happy uko humu JF.
 
exactly..

"Anatakiwa mtu ambaye maybe nae yuko bored na maisha" - She, in fact, wants the opposite.
"ajabahatika kupata the one" - Bikira siyo? Really?
"au nae kapewa cha mbavu soon!" - without even known the actual reason ya kupewa cha mbavu?
"na ANGEPENDA kuenjoy new company ya huyu dada, for chatting na kubadilishana mawazo tu!" - Mhm. Unless she's looking for a gay.

Can a woman and a man be just friends? Where is Nyani Ngabu?
 
Last edited by a moderator:
hiyo website naijua na nilikosa hizo infos
si useme tu
membership ni kiasi hiki kwa mwaka
whats the big deal?

ILA IM NOT A MEMBER YET!!!! (Dare to dream!) So siwezi kujua sana, ndo nikipata muwezeshaji anilipie!!!! LOL! (CHEZEA KUWA MEMBA WA YATCH CLUB HUKU HATA MTUBWI SINAAA! LOLEST!!!) Mi nilifatilia ya Diving course Boss Diaspora ni member yeye ndo alilniletea PDF ya cost NILITOKAJE FASTAAAA! LOL!

The course fees are as follows:

  • Open Water $480 (eLearning $130 + practical $350)
  • Advanced Open Water $355
  • Rescue Diver $480 (eLearning $130 + practical $350)
  • EFR First Aid $120
  • EFR First Aid Refresher $80
Ila kama unataka si UWASILIANE NAO TUUUU!
 


asante
nitakuwa member huko soon hopefully....
 

This aint QUANTUM PHYSICS jamani. Its a free country, na kila mtu na maisha yake!!! Maisha ni kuchagua! CHAGUA KUFANYA UNALOLIPENDA HATA KAMA HALIWAPENDEZI WENGINE!!!!! LOL!
 

lol kumbe wewe dume, ? avator ya kike
 
Weka Picha,Nina wasiwasi unavyosema sio mnene wala mwembamba lkn hata wacheza sumo nao wanajiona sio wanene!!
 
asante
nitakuwa member huko soon hopefully....

Hahahaaaaaa! Usingekuwa MGUMU kama CHUMA CHA RELI ningekwambia kitu changu!!!! Lolest!!!! Ila kwa leo mishushu imenitosha ngoja nijinyamazie. Usisahau KULETA M4C BEI ZISHUKE ILI NA SISI WENYE NCHI TUFAIDI!!!! LOL!!!
 
Wanawake bwana wanataka vitu ambavyo hawastahili. Na sisi wanaume tukisema tunataka mwanamke fulani fulani tutakosea?(mwenye kazi nzuri, aliyesoma, mzuri wa umbo kuanzia kichwa had miguu,asiwe na msururu wa x wanaume, mwenye kumpenda Mungu, mrefu sio mfupi kama pipi kifua, awe mtamu.) Goodluck to find one of this kind. Mimi naona the beauty is the in the eyes of beholder. Kwahiyo jiangalie wewe kama unastahili hayo kwanza sio kabla hujatamka
 
Weka Picha,Nina wasiwasi unavyosema sio mnene wala mwembamba lkn hata wacheza sumo nao wanajiona sio wanene!!

Buyer be aware!!!! LOLEST!!! Out of common sense 64kg ni mtu wa unene gani?
 

Hata yeye ana kioo ndo maana kataka hivo vitu!!! HAKUNA CHA AJABU ALICHOITAJI HAPO MBONAAA!!!! Kama elimu nae anayo!, Kama kazi, nae anayo! Why ademand INFERIOR STANDARDS WAKATI ZAKE ZIPO JUU PIA!!! Unakula kwa urefu wa kamba yako.YEYE KAJIAMINIA SASA KAMA MTU ANASITA ATULIZE BALL!!!!!
 
This aint QUANTUM PHYSICS jamani. Its a free country, na kila mtu na maisha yake!!! Maisha ni kuchagua! CHAGUA KUFANYA UNALOLIPENDA HATA KAMA HALIWAPENDEZI WENGINE!!!!! LOL!

It is not a rocket science to know that no woman on earth would dare to spend her time with a bored man unless he were the last man on earth, and she was the last woman on earth, and the future of the human race depended on the woman having sex simply for procreation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…