Mkaka, good looking, sweet, civilized, msomi na anaejielewa company yake inahitajika !!!

Angalia kwenye red nilizokuwekea utagunduwa kwamba maelezo yako ni ya kufikirika zaidi, anyway hongera lakini kwa kushare kuondowa stress zako mwenyewe na Members.
 
Mimi nimeishia kukudolea macho hiyo Avatar yako!:A S embarassed:
 
Angalia kwenye red nilizokuwekea utagunduwa kwamba maelezo yako ni ya kufikirika zaidi, anyway hongera lakini kwa kushare kuondowa stress zako mwenyewe na Members.

CHA AJABU HAPO NINI? WEWE KAMA MBA Waachie wenzio!!! LOL! Hata sh 100,000 kwa maskini ni ya KUFIKIRIKA ila kwa Tajiri ni HELA YA VOCHA YA SIKU!!!! All depends on the perspective you are looking from.
 
Kwakuwa hiki ni kijiwe cha porojo, basi carry on.
 
Wewe umemwona huyo dada au unaropoka tu? Aweke picha hapa. Kama sio kituko
 
Hahahaaaaaaa! Picha haiwekwi na PM zimetosha!!!! lolest! Kama wataka picha hujachelewa weka THREAD YAKO UOMBE NA PICHA!!!! Ila kwakua hii thread walengwa wamerspond baaaaaaaaaaaaaass!!! Sio lazima urespond lakini, kama unaona vigezo havikuridhish sie poa tuuu!
 
Last chance kwako
Bahati inakupita hivi hivi
 
No thanks. I think i have the most beautiful woman alive. Sometimes i want to cheat and still find myself talking about her with other women.so i don't think that's what you want because she is incomparable with anyone so far.
 
Sasa picha ulikuwa waitaka ya nini tuweke? Au ubishani tu!!!
 
Hizo lol zinatumika isivyo...

Kumbe hata LOL! zina FORMULA ya kutumila!!!!!!!!!!!!!! Khaaaaaaaaaaaa!!!!!!! Mimi natumia any way i see fit. Hata Capital letters na small letters i use them to my amusement!!!! LOL!!!!! Who cares!!!! Wapi mwalimu wa morphology sijui!!!!
 
No thanks. I think i have the most beautiful woman alive. Sometimes i want to cheat and still find myself talking about her with other women.so i don't think that's what you want because she is incomparable with anyone so far.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…