Mkaka mtanashati tusogeze siku

claramasawe

Member
Joined
May 16, 2020
Posts
37
Reaction score
40
Good morning my people.
Awali ya yote nimekuja na Id mpya kuficha usalama wangu, ila me ni mwenyeji humu JF muda tu
Wanasema mficha ugonjwa kifo humuumbua

Nahitaji mwanaume wa kupeana kampani tu (maana nina mchumba) ila yupo nje ya nchi kimasomo
Ni wakati huu ambao nimeamia makao makuu ya nchi, hakuna ndugu, wala rafiki wa kubadilishana mawazo nahisi ntakufa kwa upweke i need some one for campan.

Awe kijana miaka 29-35
Awe msomi
Awe smart mwilini na akili pia
Awe ana kazi ya kueleweka
Awe mwenye huruma na kujaliana

Sifa zangu
Mwajiriwa na biashara kidogo
Mweupe mrefu
Umri 29

Sihitaji matusi kama haikuhusu usiweke neno
 
We dada unachotaka kufanya sio kizuri. Fikiria mara ya pili uamuzi wako.
Ongozwa na akili sio hisia..
Stuka! Hizi ndio mbinu zao mpya, we mtu ana kazi na biashara zake na bwana wa kumtumia hela yuko nje ya nchi kwanini ang'ang'anie uwe na kazi ya kueleweka?

Companionship inahusiana vipi na kazi ya kueleweka? Kaa kijanja! Selection ya miaka inaonesha dhahiri tu kuwa anetafutwa ni Danga!
 
Upo sahihi ndugu mjumbe
komesha korona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…