Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

N
Natafuta Kaka mstaarabu mtulivu mwenye kujua utu na ubinaadamu wa kubadilishana nae Mawazo yaani kuchati na kushauriana kuhusu Maisha kwa ujumla.

Mengine kama mimi nani au namba ya Simu ni baada ya ku PM.

With thanks!
Nitafute
 
vip mkuu umefunga dirisha la usajili? njoo pm mama...chaguo la mungu huchelewa
 
Naweza kukushauri tu.. Niko tayari. Sitanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…