FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Ili kulishinda soko bila kujitangaza sana ni kuandaa mabango kila mtaa,masoko,vyuoni na kadhalika na kuweka picha za watu wanaojulikana ktk mitaa hiyo,masoko hayo,vyuo hivyo wakiwa na simu za TTCL, watu hao si lazima wawe wanaoheshimika Bali maarufu,wale wenye utani na kupendwa na watu,wanaopenda kuhudhulia sherehe,hata wenye sifa sifa kwa kukubaliana nao kutangaza ttcl,kuliko kutumia sana matamasha na radio na TV au bora vyote viende kwa pamoja.
Tofauti ni kuwa mabango yamezoeleka mjini tu vijijini hakuna wala mitaani,ninaamini ttcl ikiweka bango kijijini kubwa likamuweka na mnywa kahawa maarufu au mwenyekiti itapendwa sana.kama idea hii nimepatia basi TTCL mniajiri. asante