Elections 2010 Mkakati wa chadema wakuichukua hii nchi 2015??

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
wanamaendeleo nawasalim,
jamani 2015 sio mbli hata kidogo.hvi kuna mikakati gani ya kuhakikisha chadema tunachukua nchi.
nazungumzia kichama. achaa na mabadiliko ya katiba tunayopigania, na mikutano ya hadhara.
una sera gani tulizo form na amabazo tunatekeleza ili kuhakikisha tunawini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…