Mkakati Wa Kuchangia WanaArusha

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
Mkakati wa Kusaidia WanaArusha .


Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na Viongozi wao .


Kwa sasa namba zitakazotumika kwa michango ni
ZAP – 0786 806028
MPESA – 0766334049
Email : friendsofslaa@gmail.com


Ni vizuri ukaweka na jina lako kwenye mchango wako kama utapenda liwepo kwenye kumbukumbu .


Tunashukuru sana kwa wale wote wanaoendelea kutoa msaada wa hali na mali kwa FOS katika kutekeleza majukumu yake .


Mwanzo wa wiki Ijayo wawakilishi wa FOS toka Dar es salaam watakuwa Arusha kwa ajili ya Kuona Majeruhi Na kuendelea na jitihada za majadiliano .


Tembelea www.naombakazi.com Kwa Nafasi za kazi Kila siku

Tembelea Wanabidii | Google Groups kwa Majadiliano Moto Moto
 
FOS?....kama utaweza kunielewesha..........tafadhali
 
preta tuchangie wana arusha na wana mageuzi wana jf ar wapange pa kuktana tutawaunga mkono
 
preta tuchangie wana arusha na wana mageuzi wana jf ar wapange pa kuktana tutawaunga mkono

ninakuunga mkono....lakini labda niulize.....hili la wanaJF kukutana shauri ya chadema........naomba muongozo kidogo hapa
 
preta sio kwa ajili ya wanachadema ila kwa ajili ya wana mageuzi wanao itakia mema Tanganyika yetu
 
Preta usiogope kama chupi ushavua sasa shida iko wapi? au unataka kuoga nini (check avatar yako)
kama nlivyoelewa ni kuwachangia walioathirika na mabom (police brutality) ambao kuna wengi tu hata sio wanachadema, hawa police naskia walikua wanapiga mabom ya machozi ovyo.
 
Mbona hakuna updates na michango tulituma ehee bwana Shy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…