NADHANI INABIDI KWENYE HUO MDAHALO AJENGEWE GRILL KABISA....Maanake pamoja na uwezo mdogo wa hoja pia wanaogopa asije akapata tatizo kubwa kuliko kuanguka kwake kulikozoeleka.
Huyu jamaa kichwani zimo kweli? Ameropoka Mbeya anampango wa kununua Bajaj 400...tenda kwa akina Jeetu na Ramesh Patel
eti makamba anasemajk anajulikana haitaji mdahalo nani kamdanganya huyu mzee wa bumbuli?jk anajulikana kwa mabaya,ukandamizaji,ubabe na ukosefu wa sera madhubuti wamlete kwenye mdahalo tumpime na wajue hatumpimi rais bali mgombea wa ccm so waache kutupga changa la macho