Mkakati Wa Mgombea Nafasi ya Makamu wa Rais Suma Mwaitenda Umemgharimu Pakubwa.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Huyu mwanamama ni shabiki mkubwa sana wa Yanga SC.

Hata atakapo shindwa uchaguzi bado ataendelea kuwepo kwa ajili ya klabu.

Katika mkakati wake wa namna ya kufanya Kampeni aliamua kutumia mashabiki wa Makolo FC ili wampromote kama mgombea anayefaa.

Pasi na kujua kuwa hakuna shabiki wa Yanga SC atakaye piga kura kwa kutokana na msukumo wa upande wa pili.


Wapiga kura wengi wanaamini kuwa hakuna shabiki wa Makolo FC mwenye kuipenda sana Yanga hata akathubutu kupendekeza mgombea anaye faa kuwapa Yanga Mafanikio. HAKUNA.

Masikini mama wa watu akaamua kutumia njama ambayo mpaka sasa imethibitisha kumuangusha pakubwa yaani.



Hebu fikiria kuhusu ile press conference ambayo ameiitisha. Yaan waandishi wa habari walio jitokeza ni asilimia 30% ya wale walio jitokeza kipindi Bwana Arafat anafanya press conf.

Huwezi kufanikiwa kwa kutegemea mashabiki wa mikia ili hali hata upande wao wenyewe hawatambui kama transformation imekamilika au bado.

Kwa mbio za uchaguzi zilivyo inaonekana wazi kabisa kuwa bwana Arafat ndiye makamu wa rais na rais ndiye eng hersi.

Hakuna ushindani katika uchaguzi huu wa kuwatufanya tukose usingizi.
 
Kapigeni kura sio kutuletea takataka zenu
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Hivi kwa nini wanawake hampendani? Nimeamini mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Mwanamke mwenzako aemjitosa kugombea uongozi badala ya kumsapoti wewe unampiga majungu halafu mnalalamikia mfumo dume. Dada mkubwa wacha roho mbaya.
 
Sijui mmeona nilichoona mm kwenye macho yake
 
Hivi kwa nini wanawake hampendani? Nimeamini mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Mwanamke mwenzako aemjitosa kugombea uongozi badala ya kumsapoti wewe unampiga majungu halafu mnalalamikia mfumo dume. Dada mkubwa wacha roho mbaya.
Kumbe huyu mtoa mada ni mdafwada?
 
Nakukimbusha pia ulikuwa unaamini Mawele angetwaa tuzo ya mchezaji bora.
 
Huyu mama kapita au..?
Usishangae akapita yule Arafat, kwa sababu tu ni chaguo la Hersi Said!

Ingawa kwenye kujieleza, huyu mwanamama mrembo Suma, alionekana kuwa na kitu cha ziada ukilinganisha na mgombea mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…