Mkakati wa ukusanyaji wa michango ya Yanga ngazi ya mikoa

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Mkakati wa kukusanya shilingi bilioni moja (1,000,000,000) kutoka kwenye Mikoa yote Tanzania bara na Visiwani na kusimamiwa na Wajumbe wa Kamati Maalumu ya Hamasa waliogawanywa kila mkoa na kuitwa WALEZI ambao utaratibiwa na watu maalumu walioteuliwa kwa ngazi za mikoa ambao wataunda Vikundi Kazi (Task Forces) au Kamati ndogo za Mikoa zenye jumla ya watu tisa (9) kwa kuzingatia uwakilishi wa kila Wilaya ili kuleta sura ya Kimkoa. Mgawanyo huo upo kama ifuatavyo;

1. *ARUSHA*
MRATIBU - Jerry Muro (DC Arumeru)
MLEZI - Samuel Lukumay
LENGO – Kadi Hamsini (50) sawasawa na Shilingi 50,000,000/=

2. *DODOMA*
MRATIBU –
MLEZI - Mh. Anthony Peter Mavunde (MB)
LENGO – Kadi Hamsini (50) sawasawa na Shilingi 50,000,000/=

3. *GEITA*
MRATIBU - Leonard Bugomola
MLEZI - Moses Katabaro
LENGO – Kadi Kumi na tano (15) sawasawa na Shilingi 15,000,000/=

4. *ILALA*
MRATIBU - Omary Chuma
MLEZI - Abdallah Bin Kleb
LENGO – Kadi mia moja (100) sawasawa na Shilingi 100,000,000/=

5. *IRINGA*
MRATIBU - Salum Ally Hapi (RC Iringa)
MLEZI - Madaraka Marumbo
LENGO – Kadi Kumi na tano (15) sawasawa na Shilingi 15,000,000/=

6. *KAGERA*
MRATIBU -
MLEZI - Pelegrinius Rutayuga
LENGO – Kadi Kumi na tano (15) sawasawa na Shilingi 15,000,000/=

7. *KATAVI*
MRATIBU - Said Mtanda (DC Nkasi)
MLEZI - Jimmy Joseph Mafufu
LENGO – Kadi Kumi (10) sawasawa na Shilingi 10,000,000/=

8. *KIGAMBONI*
MRATIBU - Alex Ngai
MLEZI - Hussein Ndama
LENGO – Kadi Hamsini (50) sawasawa na Shilingi 50,000,000/=

9. *KIGOMA*
WARATIBU - Mh. Eng. Christopher Chiza (MB) na Wastara Baribari
MLEZI - Issa Kipemba
LENGO – Kadi Kumi (10) sawasawa na Shilingi 10,000,000/=

10. *KILIMANJARO*
MRATIBU - Hamad Gao
MLEZI - Deo Mutta
LENGO – Kadi Kumi na tano (15) sawasawa na Shilingi 15,000,000/=

11. *KINONDONI*
MRATIBU - Yusuphed Mhandeni
MLEZI - Said Ntimizi
LENGO – Kadi mia moja (100) sawasawa na Shilingi 100,000,000/=

12. *LINDI*
MRATIBU - Shabani Said Majaliwa
MLEZI – Hussein Yahaya Hussein
LENGO – Kadi Kumi (10) sawasawa na Shilingi 10,000,000/=

13. *MANYARA*
MRATIBU - Said Msonde
MLEZI - DR. Athuman Kihamia
LENGO – Kadi Kumi (10) sawasawa na Shilingi 10,000,000/=

14. *MARA*
MRATIBU - Alhaj Majogoro
MLEZI – Yanga Makaga
LENGO – Kadi Kumi (10) sawasawa na Shilingi 10,000,000/=

15. *MBEYA*
MRATIBU - Chuma Mahinya
WALEZI - Dismas Ten, Jimmy Mafufu
LENGO – Kadi Hamsini (50) sawasawa na Shilingi 50,000,000/=

16. *MOROGORO*
MRATIBU - Eng. Bahati Mwaseba
MLEZI - Hamad Islam
LENGO – Kadi Hamsini (50) sawasawa na Shilingi 50,000,000/=

17. *MTWARA*
MRATIBU - Geofrey Mwambe
MLEZI - Husein Yahya Hussein
LENGO – Kadi Kumi na tano (15) sawasawa na Shilingi 15,000,000/=

18. *MWANZA*
MRATIBU - Said Mecky Sadick
MLEZI - Yanga Makaga
LENGO – Kadi mia moja (100) sawasawa na Shilingi 100,000,000/=

19. *NJOMBE*
MRATIBU - Angu Shadrack na
MLEZI - Debora Mkemwa
LENGO – Kadi Kumi (10) sawasawa na Shilingi 10,000,000/=

20. *PWANI*
MRATIBU - Iman Mahugila Madega
WALEZI - Jokate Mwegelo na Nsubisi Mwasandede
LENGO – Kadi Kumi na tano (15) sawasawa na Shilingi 15,000,000/=

21. *RUKWA*
MRATIBU - Paulo Mzindakaya
MLEZI - DR. Athuman Kihamia
LENGO – Kadi Kumi (10) sawasawa na Shilingi 10,000,000/=

22. *RUVUMA*
MRATIBU - Alphonce Mangula na Ally Issa
MLEZI - Debora Mkemwa
LENGO – Kadi Kumi (10) sawasawa na Shilingi 10,000,000/=

23. *SHINYANGA*
MRATIBU - Mh. Sebastian Mashinji 'KOMAA'
MLEZI - Clifford Lugora
LENGO – Kadi Kumi na tano (15) sawasawa na Shilingi 15,000,000/=

24. *SIMIYU*
MRATIBU - Anthony Mtaka (RC Simiyu)
MLEZI - Yanga Makaga
LENGO – Kadi Kumi (10) sawasawa na Shilingi 10,000,000/=

25. *SINGIDA*
MRATIBU - Mh. Mwigulu Nchemba
MLEZI - Dismas Ten
LENGO – Kadi Kumi na tano (15) sawasawa na Shilingi 15,000,000/=

26. *SONGWE*
MRATIBU - Mh. Janeth Mbene (MB)
WALEZI - Jimmy Joseph Mafufu na Nsubisi Mwasandende
LENGO – Kadi Kumi (10) sawasawa na Shilingi 10,000,000/=

27. *TABORA*
MRATIBU - Selemani Paris Lyimo
MLEZI - Qs. Said Mrisho
LENGO – Kadi Kumi na tano (15) sawasawa na Shilingi 15,000,000/=

28. *TANGA*
WARATIBU - Mh. Marry Chatanda na Mtiga Lubawa
MLEZI - Deo Mutta
LENGO – Kadi Kumi na tano (15) sawasawa na Shilingi 15,000,000/=

29. *TEMEKE*
WARATIBU - Felix Lyaviva (DC Temeke) na Kara Remtullah
MLEZI - Dr. David Ruhago
LENGO – Kadi mia moja (100) sawasawa na Shilingi 100,000,000/=

30. *UBUNGO*
WARATIBU - Eng. Edgar L. Lema na Eng. David Luambano
MLEZI - Lucas Mashauri
LENGO – Kadi Hamsini (50) sawasawa na Shilingi 50,000,000/=

31. *ZANZIBAR*
MRATIBU - Mh. Issa Gavu
MLEZI - Abdulmaliki Hassan
LENGO – Kadi Hamsini (50) sawasawa na Shilingi 50,000,000/=

Mpango huu ukisimiwa vyema Klabu ya Yanga itakusanya jumla ya shilingi bilioni moja (1,000,000,000).

*TIMU YA WANANCHI WAWEKEZAJI NI WANANCHI WENYEWE*

*“MAYAGA – Make Yanga Great Again”*

*Deo Mutta*
*Katibu*
*KNY – Kamati ya* *Maalumu ya Hamasa za Michango*
*Klabu ya Yanga*

Daima mbele nyuma mwiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mkoa wangu haumoo au sijaangalia vyema [emoji204][emoji205][emoji205][emoji196][emoji196][emoji196][emoji500][emoji500][emoji500][emoji1005][emoji1005]bbbaaakkuuurrriii nnnyyyyiiie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaaah Matonya FC mnatafuta hela ya usajili
 
Pamoja sana wangeweka na viwango vya chini hao wenye boxes na wa chini ya box wangekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…