KUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mkakati huo umefichuka siku moja baada ya Mkurugenzi wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Crispin Chalamila kuwaita Shabiby na Lugola ili waleta taarifa rasmi na ushahidi wa madai yao Bungeni.
Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya siasa, wamepinga hatua ya Takukuru kuwaita wabunge hao na mkakati wa kutaka kuwashambulia kwa maelezo kwamba umelenga kuwatisha na kuwadhoofisha wabunge wenye msimamo mkali kwenye Bunge hili la 13 mjini Dodoma
Wiki iliyopita, Shabiby ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu, akichangia hoja kwenye hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Bungeni, alidai baadhi ya vigogo ni mafisadi kwani wana ukwasi wa kutisha kuliko hata baadhi ya wafanyabiashara wakubwa nchini
Alienda mbali zaidi kusema ana majina na taarifa za namna walivyopata utajiri kwa kufanya ufisadi huku akiwataka baadhi ya watendaji wa Rais kuacha kuota urais mwaka 2030.
Lugola kwa upande wake aliliambia Bunge kuwa anaunga mkono hoja ya Shabiby akaenda mbali zaidi akitaka Jeshi la Polisi na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), wawe huru kutimiza majukumu yao.
Mbunge huyo ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alitaka Serikali kukomesha 'machawa' kwani wamekuwa kichaka cha ufisadi.
Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa baadhi ya waliojipanga kuwashambulia wabunge hao ni pamoja na makada wa CCM wanaotumika kama 'machawa', baadhi ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, wakiwamo baadhi ya wabunge.
Nchi hii mfano ikaundwa tume huru toka nje , kuja chunguza ukwasi wa viongozi mbali mbali juu ya ukwasi wao , mtashanga bajeti ya mwaka ya kuendesha taifa hili ipo mifukoni mwao, nawambiaKUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mkakati huo umefichuka siku moja baada ya Mkurugenzi wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Crispin Chalamila kuwaita Shabiby na Lugola ili waleta taarifa rasmi na ushahidi wa madai yao Bungeni.
Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya siasa, wamepinga hatua ya Takukuru kuwaita wabunge hao na mkakati wa kutaka kuwashambulia kwa maelezo kwamba umelenga kuwatisha na kuwadhoofisha wabunge wenye msimamo mkali kwenye Bunge hili la 13 mjini Dodoma
Wiki iliyopita, Shabiby ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu, akichangia hoja kwenye hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Bungeni, alidai baadhi ya vigogo ni mafisadi kwani wana ukwasi wa kutisha kuliko hata baadhi ya wafanyabiashara wakubwa nchini
Alienda mbali zaidi kusema ana majina na taarifa za namna walivyopata utajiri kwa kufanya ufisadi huku akiwataka baadhi ya watendaji wa Rais kuacha kuota urais mwaka 2030.
Lugola kwa upande wake aliliambia Bunge kuwa anaunga mkono hoja ya Shabiby akaenda mbali zaidi akitaka Jeshi la Polisi na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), wawe huru kutimiza majukumu yao.
Mbunge huyo ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alitaka Serikali kukomesha 'machawa' kwani wamekuwa kichaka cha ufisadi.
Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa baadhi ya waliojipanga kuwashambulia wabunge hao ni pamoja na makada wa CCM wanaotumika kama 'machawa', baadhi ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, wakiwamo baadhi ya wabunge.
Hayo ni maigizo ya ccmKUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mkakati huo umefichuka siku moja baada ya Mkurugenzi wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Crispin Chalamila kuwaita Shabiby na Lugola ili waleta taarifa rasmi na ushahidi wa madai yao Bungeni.
Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya siasa, wamepinga hatua ya Takukuru kuwaita wabunge hao na mkakati wa kutaka kuwashambulia kwa maelezo kwamba umelenga kuwatisha na kuwadhoofisha wabunge wenye msimamo mkali kwenye Bunge hili la 13 mjini Dodoma
Wiki iliyopita, Shabiby ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu, akichangia hoja kwenye hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Bungeni, alidai baadhi ya vigogo ni mafisadi kwani wana ukwasi wa kutisha kuliko hata baadhi ya wafanyabiashara wakubwa nchini
Alienda mbali zaidi kusema ana majina na taarifa za namna walivyopata utajiri kwa kufanya ufisadi huku akiwataka baadhi ya watendaji wa Rais kuacha kuota urais mwaka 2030.
Lugola kwa upande wake aliliambia Bunge kuwa anaunga mkono hoja ya Shabiby akaenda mbali zaidi akitaka Jeshi la Polisi na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), wawe huru kutimiza majukumu yao.
Mbunge huyo ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alitaka Serikali kukomesha 'machawa' kwani wamekuwa kichaka cha ufisadi.
Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa baadhi ya waliojipanga kuwashambulia wabunge hao ni pamoja na makada wa CCM wanaotumika kama 'machawa', baadhi ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, wakiwamo baadhi ya wabunge.
mafisadi ndivyo yalivyoKUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mkakati huo umefichuka siku moja baada ya Mkurugenzi wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Crispin Chalamila kuwaita Shabiby na Lugola ili waleta taarifa rasmi na ushahidi wa madai yao Bungeni.
Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya siasa, wamepinga hatua ya Takukuru kuwaita wabunge hao na mkakati wa kutaka kuwashambulia kwa maelezo kwamba umelenga kuwatisha na kuwadhoofisha wabunge wenye msimamo mkali kwenye Bunge hili la 13 mjini Dodoma
Wiki iliyopita, Shabiby ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu, akichangia hoja kwenye hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Bungeni, alidai baadhi ya vigogo ni mafisadi kwani wana ukwasi wa kutisha kuliko hata baadhi ya wafanyabiashara wakubwa nchini
Alienda mbali zaidi kusema ana majina na taarifa za namna walivyopata utajiri kwa kufanya ufisadi huku akiwataka baadhi ya watendaji wa Rais kuacha kuota urais mwaka 2030.
Lugola kwa upande wake aliliambia Bunge kuwa anaunga mkono hoja ya Shabiby akaenda mbali zaidi akitaka Jeshi la Polisi na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), wawe huru kutimiza majukumu yao.
Mbunge huyo ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alitaka Serikali kukomesha 'machawa' kwani wamekuwa kichaka cha ufisadi.
Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa baadhi ya waliojipanga kuwashambulia wabunge hao ni pamoja na makada wa CCM wanaotumika kama 'machawa', baadhi ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, wakiwamo baadhi ya wabunge.
Maigizo yenu tumeshtukia hiyo script imebuma matumbili hayawezi kuamua kesi yenyeweChama kimoja kinatosha,upinzan utatoka humo humo chamani
Aliefikiria vyama vyingi ni mjinga
Hata ubunge wao haramu nao ni aina ya ufisadi. Nchi hii iko mikononi mwa majambazi watupu!View attachment 3537430
KUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mkakati huo umefichuka siku moja baada ya Mkurugenzi wa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Crispin Chalamila kuwaita Shabiby na Lugola ili waleta taarifa rasmi na ushahidi wa madai yao Bungeni.
Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya siasa, wamepinga hatua ya Takukuru kuwaita wabunge hao na mkakati wa kutaka kuwashambulia kwa maelezo kwamba umelenga kuwatisha na kuwadhoofisha wabunge wenye msimamo mkali kwenye Bunge hili la 13 mjini Dodoma
Wiki iliyopita, Shabiby ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu, akichangia hoja kwenye hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Bungeni, alidai baadhi ya vigogo ni mafisadi kwani wana ukwasi wa kutisha kuliko hata baadhi ya wafanyabiashara wakubwa nchini
Alienda mbali zaidi kusema ana majina na taarifa za namna walivyopata utajiri kwa kufanya ufisadi huku akiwataka baadhi ya watendaji wa Rais kuacha kuota urais mwaka 2030.
Lugola kwa upande wake aliliambia Bunge kuwa anaunga mkono hoja ya Shabiby akaenda mbali zaidi akitaka Jeshi la Polisi na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), wawe huru kutimiza majukumu yao.
Mbunge huyo ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alitaka Serikali kukomesha 'machawa' kwani wamekuwa kichaka cha ufisadi.
Taarifa za uchunguzi zinaeleza kuwa baadhi ya waliojipanga kuwashambulia wabunge hao ni pamoja na makada wa CCM wanaotumika kama 'machawa', baadhi ya viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani, wakiwamo baadhi ya wabunge.
Iwapo watatekwa ama watamiminiwa masasi kama ilivyokuwa kwa lisu nitaelewa waliamua kuukataa uchawa na kuutaka uzalendo wa kweli.View attachment 3537430