Salam kwa wadau wote.
Niko Arusha kwa muda na kari yangu ya kisasa kidogo, Landcruiser Prado 2016. Ni kama km elfu 40 ila a/c naona haina nguvu na ningependa kuifanyia check up na service.
Nahitaji msaada wa mafundi wakali wa aircondion ili wanipe huduma kabla sijaondoka Arusha.
Nawasilisha.
Sent using
Jamii Forums mobile app