Mkali wa Jiko Azam TV

KateMiddleton

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
3,883
Reaction score
4,676
Hongereni sana kwa hiki kipindi
Waandaaji na Washiriki..

Mi nimekipenda
Tulizoea kuona mashindano ya hivi kwa nchi za nje tu.
...
Maoni;
1. Ile meza ya kuonjea iwe kubwa zaidi
Ili Maybe kila chef judge apate plate yake for tasting kwa nafasi

2. Na serving dishes standard iwe plates kubwa zaidi walau kuboresha appearance ya chakula mtu aki'serve...(white or black colored chakula ki'stand out baada ya ku'garnish)... nimeona leo tu lakini, ukute mna utaratibu wenu sijui.

Mi pia napenda sana kupika,kuserve na kupamba chakula na ku'set mezani
Sijasomea, ni hobby yangu tu

InshaAllah ntajaribu kushiriki siku moja

Mmekiona hiki kipindi wadau?

Ungeenda ungepika nini.?

mnaopenda kupika mpo humu kweli?.
 
Tupoooo
 

Vipi mkuu ulifanikiwa kushiriki?
 
Ukitaka afya njema tumia vyakula vya asili sio hivi vinavyopikwa kwa mbwembwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…