Mwanagandila
Senior Member
- Oct 9, 2011
- 182
- 100
Naomba tuelimishane kidogo, hivi huyo Daimondo yeye anaimba muziki gani?Kwa kuimba r&b bongo Nawakubali sana Rama dee na Ben paul.
Kwa kuimba r&b bongo Nawakubali sana Rama dee na Ben paul.
Naomba tuelimishane kidogo, hivi huyo Daimondo yeye anaimba muziki gani?
Naomba tuelimishane kidogo, hivi huyo Daimondo yeye anaimba muziki gani?
Ebwana kweli majembe sana hayo!!! Ben Paul ni R&B singer Bora ila anapata promo na Rama Dee ametulia sema ndio hvyo hana promo!
hapo mkuu umeuliza swali la msingi, kesho watakuja na kusema tena humu JF hakuna muimbaji bora wa rnb kama Diamond, wana JF wengine bana fuata upepo tu