Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweliMnatoa warrants kwenye kazi zenu? Hasa kazi za kuweka waterproof kwenye slab..... yani mkishafanya kazi inabidi mlipwe 50% kwanza then 50% after six months ili iwe kama security
Mafundi wengi mnaji brand sana afu kazi zinakua chini ya kiwango
ndio tunatoa na kama kuna kuwa kuna changamoto yoyote inakuwa juu ya kampuni karibu sana.Mnatoa warrants kwenye kazi zenu? Hasa kazi za kuweka waterproof kwenye slab..... yani mkishafanya kazi inabidi mlipwe 50% kwanza then 50% after six months ili iwe kama security
Mafundi wengi mnaji brand sana afu kazi zinakua chini ya kiwango
karibu sana kazi inakuwa chini ya umakini mkubwa kuhakikisha hakuna tatizi baada ya kazi.Umesema kweli
akikujibu nitag.Kibanda Cha vyumba wiwili kimoja masta,sebule na kijiko kupaua Hidden roofing inaweza kua Bei gani ufundi?
Asante
Akiamka atamjibuakikujibu nitag.
kazi huwa inafanyika kwa square meter hapo tunaangalia kuna jumla ya square meter ngapi ndio nikupe mahesabu ya gharama.Kibanda Cha vyumba wiwili kimoja masta,sebule na kijiko kupaua Hidden roofing inaweza kua Bei gani ufundi?
Asante
tayari nimesha mjibu mkuu .akikujibu nitag.
tayari nimesha jibuAkiamka atamjibu
Hapo umejibu kiufundi sana! Hivyo kwa square meter 1 ni sh ngap?kazi huwa inafanyika kwa square meter hapo tunaangalia kuna jumla ya square meter ngapi ndio nikupe mahesabu ya gharama.
Karibu sana bosi
square meter 1 ni Tsh 5000 fundi+vifaaHapo umejibu kiufundi sana! Hivyo kwa square meter 1 ni sh ngap?