Mkama: CCM yashikilia urais kutopingwa mahakamani

Wakikataa mahakamani na wakituibia kura tutawatolea mitaani.
Na wanajua kutolewa kwa njia ya kitaa madhara yake ni nini!? Wakamuulize Mubarak na Zine El Abidine Ben Ali wa Tunisia.
Haki ya mtu haipotei milele, time always tell the truth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…