mkananguja
Member
- Jan 30, 2014
- 55
- 3
Kwani humu ndani hakuna m2 mwenye uhakika kuhusu lini ajira mpya za walimu zitatoka, kwani ishafikia hatua watu wanalidanganyia gazeti fulan kwamba ndio chanzo kilicholipoti ukiangalia gazeti lenyewe hamna kitu #NAWASILISHA tujuzane