mkananguja Member Joined Jan 30, 2014 Posts 55 Reaction score 3 Feb 5, 2014 #1 Kwani humu ndani hakuna m2 mwenye uhakika kuhusu lini ajira mpya za walimu zitatoka, kwani ishafikia hatua watu wanalidanganyia gazeti fulan kwamba ndio chanzo kilicholipoti ukiangalia gazeti lenyewe hamna kitu #NAWASILISHA tujuzane
Kwani humu ndani hakuna m2 mwenye uhakika kuhusu lini ajira mpya za walimu zitatoka, kwani ishafikia hatua watu wanalidanganyia gazeti fulan kwamba ndio chanzo kilicholipoti ukiangalia gazeti lenyewe hamna kitu #NAWASILISHA tujuzane