Mkanda wa surual nilio uokota na kuutumia, kumbe haukua Mkanda

Daaah aisee usipende kuokota vitu ovyo ndugu yangu kuna siku nitaleta mkasa hapa uliotokea magomeni watu walitoka out Coco beach km kitaa alafu kuna demu aliokota chupa ya whisky Kwenye fukwe mikosi ilianza kuanzia kwenye coster mpaka kwao huyo demu ni shida kuokota mavitu yasiyokuhusu huko njiani.

Mimi nilishawahi ona mtoto pale muhimbili kwenye mti chini mchanga kabisa na mzima nikauliza jaman nyie hamuoni mtoto raia wanasema mbona hakuna mtoto nikasema hii sasa balaa nikaenda na yangu sasa ww mkanda umetegewa uone umeingia kingi pole sana.
 
MKANDA nao bei gan mpaka uokote na wewe?
 
mmm story za kutunga unaokotaje mkanda.umekuwa mwanafunzi wa darasa la tatu
 
Mkuu umefupisha, namimi nikaifupisha hyo syory yako.
Uliposema tu Kigoma nkajua tyari 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…