N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Yaani kuna kipande cha kuanzia Ununio hadi Ubungo kajenga vizuri, baada ya hapo kamwaga lami chini ya kiwango kabisa, mpaka unajiuliza Injinia wa Halmashauri ya Kinondoni kakagua na kupitisha lami hii lowest grade hivi!? Why quality itofautiane hivyo!?