A Anonymous Guest Feb 13, 2025 #1 Mkandarasi aliyepewa kujenga mitaro barabara ya Tegeta Kibaoni kwenda Wazo ameacha mabaki ya udongo na vigingi vya zege la mitaro ya zamani barabarani
Mkandarasi aliyepewa kujenga mitaro barabara ya Tegeta Kibaoni kwenda Wazo ameacha mabaki ya udongo na vigingi vya zege la mitaro ya zamani barabarani