lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Mkandarasi anayejenga Barabara ya mabus ya mwendokasi MBAGALA na hakika anachukizwa mno na adha anazokutana nazo SITE, haswa kipande cha ZAKHEIM - RANGI TATU.
Serikali wilaya ya Temeke imebaki inaangalia tu. Ni kweli WANANCHI wa MBAGALA wanajipatia riziki katika mihangaiko yao ya kila siku pale SITE, lkn ni JUKUMU la serikali ya wilaya ya TEMEKE kufikiri jinsi ya kuzisaidia pande zote mbili.
Waache , kukaa ofisini, watoke Waone na watatue msongamano wa wafanyabiashara kiasi cha kusababisha uzoroteshaji wa ujenzi wa mwendokasi.
Hata hilo tu mpaka WAZIRI MKUU aje kutoa muongozo? Acheni kuwaondoa kizimamoto . Mambo mengine ni madogo mno siyo mpaka MAMA AJE.