ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hili vumbi linalotimka si la kitoto. Mradi wote huu wa mwendokasi huku Barabara ya Kilwa, tunaiomba serikali wambane sana huyu mkandarasi amwagie maji muda wote barabara ili kupunguza vumbi hili yaani tunateseka sana.
Pale chini mto Kizinga unatiririsha maji mengi hakukua na sababu sisi wakazi na watumiaji njia hii tuteseke na vumbi kama ni gari za doza wanazo kwanini hawaziyumii ipasavyo?
Tunaomba tusaidiwe kwa hili.