Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Wakati wanatangaza kuhusu ujenzi wa hii barabara niliwambia watu kitu. Anyway na ndicho kinachoendeleaaaa
Ile barabara walivunja frame za watu zaidi ya 100 na nyumba za watu kadhaa wakishauriwa wengine kuvunja wenyewe.
Katika kuwaweka sawa wananchi mkandarasi akaja na magari ya kukwangua barabara
Akaja na malori akapaki pale Kimara kituoni kabisa.
Wananchi wakafanya kile wameambiwa wakavunja nyumba frame zao. Toka May, June, July, Aug Sept leo tunaingia October
Hivi wananchi mnawaonaje lakini inahuzunisha sana sana
May walipoulizwa wahandisi wakadai wanaanza Julai. Agosti mwanzoni wakanza kuondoa yale magari moja baada ya lingine.
Anyway mbunge ndie ulishauri watu wavunje nyumba zao
Hao kandarasi wameishia wapi na ulisema hela zipo na wameshapatiwa kuanza kazi
Cc
Mh Waziri wa ujenzi.
Tunataka maendeleooooooo
Pia soma
- Serikali kupitia TANROADS imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara-Bonyokwa-Kinyerezi kwa kiwango cha lami