Mkandarasi Mshauri Mwanza Airport

Mkandarasi Mshauri Mwanza Airport

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Naomba kumjua mkandarasi mshauri kwenye uboreshaji wa miundo mbinu uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza, ni nani hasa ili tujua uwezo wake.
 
Hiyo mwz Airport inakera harafu inachosha jengo nililoliacha mwaka jana mwezi 8 nimerudi mwaka huu mwezi 2 hakuna kilichobadilika liko vile vile.

Upuuzi mtupu
 
Said Mtanda kwa mradi wa airport kimya. Kulikoni?
 
Back
Top Bottom