Mkandarasi wa anayejenga Reli ya SGR adaiwa kuyumba kifedha, Serikali yatafuta mbadala kukamilisha ujenzi

Mkandarasi anayumbaje?kwani serikali haimlipi fedha anazodai au?
 
Kwa trend hii ya mabasi kuagizwa kwa wingi na baadhi ya viongozi kuwekeza katika usafirishaji itoshe kusema SGR imeenda na maji hadi pale atakapokuja rais mzalendo kama JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…