Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki

Hii habari imeeleza kuwa serikali haidaiwui. Ni jambo jema.

Ilitakiwa ieleze kuwa tatizo la hai wafanyakazi ni lipi mpaka wanazua taharuki.

Yani maelezo hayo ndio kamaliza?
 
sababu ya kutolipa miezi 7 huku YARPI ikilipwa ziko wapi?, jukumu la serikali ni kuhakikisha pia makampuni yanalipa mishahara wafanyakazi wake.

Shida ya CCM iko tayari kutoa rushwa kubwa ili ijisafishe wakati unawezekana kuta deni lenyewe ambalo lipo ni sawa tu na hiyo gharama ya kujisafisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…