Mkanganyiko juu ya ajra mpya katika jeshi la police

Mkanganyiko juu ya ajra mpya katika jeshi la police

luhuwa john

Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
17
Reaction score
1
Jaman wana JF naomben full information kuhusu ajira mpya za kiujiunga na jeshi la polisi mwaka huu kwa sababu ukiingia kwenye mtandao wa jeshi la polis kuna tangazo lao lilelile linalowahusu kidato cha sita waliomaliza mwaka huu tu lakin leo kuna mtu nilikuwa nachat nae kwenye FB ni askari polisi kaniambia nafasi zimetoka lakin ni kwa kidato cha nne na sita wa mwaka jana, sasa hapa nashindwa kuelewa kabisa kutokana na huu mkanganyiko ebu jaman wana jf naombeni taarifa kamili kwa mwenye nazo.i
 
acha ujinga.taarifa kamili ni hizo ulizoziona kwenye website yao.watanzania mmezoea sana majungu,yaan unawezaje kuomba taarifa zaid mtaani wakati umeona taarifa kamili kwenye website ya hao jamaa?huyo uliechat nae ndo IGP au?badilikeni.
 
Taarifa iliyo ktk web imesainiwa na mkuu wa mawasilino na mkurugenzi sasa huna budi kuiamini
 
Back
Top Bottom