Jaman wana JF naomben full information kuhusu ajira mpya za kiujiunga na jeshi la polisi mwaka huu kwa sababu ukiingia kwenye mtandao wa jeshi la polis kuna tangazo lao lilelile linalowahusu kidato cha sita waliomaliza mwaka huu tu lakin leo kuna mtu nilikuwa nachat nae kwenye FB ni askari polisi kaniambia nafasi zimetoka lakin ni kwa kidato cha nne na sita wa mwaka jana, sasa hapa nashindwa kuelewa kabisa kutokana na huu mkanganyiko ebu jaman wana jf naombeni taarifa kamili kwa mwenye nazo.i