Blcng
Member
- Oct 14, 2014
- 28
- 2
Ndugu watanzania kwa wale ambao mlikuwa mnafikiria kujiunga na chuo kikuu cha Kampala international university ni bora uondoe hayo mawazo maana mimi ni mwanafunzi wa hiko chuo. Hiki chuo kwanza hakina usajil wa kozi znazofundshwa hapa ingawa TCU wanakitambua kwa hiyo hata ukimaliza kuajiriwa itakua ndoto sababu huwezi hata kijiajiri kwa sababu huwezi kupata licence ambayo inakuruhuu kupractice taaluma yako. Kama huamnini mtafute mtu anayesom kozi ya health hapa Kampala akikwambia ni pazuri huyo ni MNAFIKI hakutakii mema.