Mkanganyiko: Kampala International University hakijasajiliwa

Blcng

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
28
Reaction score
2
Ndugu watanzania kwa wale ambao mlikuwa mnafikiria kujiunga na chuo kikuu cha Kampala international university ni bora uondoe hayo mawazo maana mimi ni mwanafunzi wa hiko chuo. Hiki chuo kwanza hakina usajil wa kozi znazofundshwa hapa ingawa TCU wanakitambua kwa hiyo hata ukimaliza kuajiriwa itakua ndoto sababu huwezi hata kijiajiri kwa sababu huwezi kupata licence ambayo inakuruhuu kupractice taaluma yako. Kama huamnini mtafute mtu anayesom kozi ya health hapa Kampala akikwambia ni pazuri huyo ni MNAFIKI hakutakii mema.
 
Mkuu wewe unasoma kozi gani hapo?Alafu ao health Science wanajifanya matatizo yao yamepatikana ufumbuzi Kumbe awana lolote,walijifanya kugoma mbwembwe kibao mwisho Kimyaaaaa,sasa mie nashangaa chuo kimeanza 2009 mpaka leo kinachukua wanafunzi tena kwa mifumo ya tcu na nacte alafu ada kubwaaaa Kumbe usajili hakuna?hii serikali imelala kweli jamani.
 
if ningekuwa rais ningefanya maamuzi magumu ya baadhi ya viongozi watendaji wa hii serikali
 

DUUUHHH Punguza jazba mdogo wangu!
 
Hii issue ni kweli imetinga hadi bungeni jana walikuwa wanalizungumzia hilo ni kweli KIU na St.Joseph Mwanza kama sijaksea hawana usaliji tcu na kuna kozi kama ya ufamasia hata mtu aliosoma hgk or hgl ukienda KIU unakubaliwa kosoma miaka 4 mwisho wasiku huwezi pata leseni ua ufamasia unakuwa umepoteza muda plus fedha, kama kuna mtu aliangalia bunge jana jioni ataelewa vizuri
 
hiki chuo noma kwani kinarahisisha MAISHA
 
yeah hii issue ipo bungeni mdau maana tumegoma miez miwil bila kuingia clas stil matatizo yetu bdi hayajatatuliw
 
Kaka hapo wengine wasaliti ivi mngeanzisha mgomo mwanzo mwisho kuanzia cheti,diploma mpaka shahada kozi zote za afya Lakini sasa ni famasia tuuuu na medical lab mbona hao madaktari awajiungi kama vipi wapeni kichapo,umoja ni nguvu.
 
C alikuja mzito kutoka serikalini, uongozi ukaahid usajir utakamilika within a week
 
Kwa hayo makosa kiukweli wakulaumiwa ni selikari, kwani hivyo vyuo ni vikubwa na serikari inavijua hivyo vyuo.Sizani kama vyuo havinaga wakaguzi toka serikarini, na kama wapo walikuwa hawayajui haya. Sasa bungeni wanajadili nini wawajadili wakaguzi wao wanaousika na hayo mambo
 
mkiambiwa msome mnazingua sasa sifa hamna mnataka msome chuo gani mshukuru kiu kimewabeba vinginevyo mngekuwa mpo kitaa.nilitaka nipige mastaz coz ni kambini jeshini goms baati nzuri kuna mkuu wa idara akasema niachane napo napoteza pesa za bure
 
mkiambiwa msome mnazingua sasa sifa hamna mnataka msome chuo gani mshukuru kiu kimewabeba vinginevyo mngekuwa mpo kitaa.nilitaka nipige mastaz coz ni kambini jeshini goms baati nzuri kuna mkuu wa idara akasema niachane napo napoteza pesa za bure
Hujitambui hujui unacho zungumza
 

Bachelor of pharmacy
 

:flame::llama::msela::fencing:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…