Mkanganyiko kuhusu matumizi ya Mbegu za papai kama kinga ya ugonjwa wa Dengue!

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wana jamvi

Ni wazi kuwa Ugonjwa wa dengu
Umekuwa hatari na umesababisha vifo vya watu we hapa nchini hasa Dares-salaam na umeendelea kusambaa mikoa ya Tanga ,pwani na zanzibar.

Pamoja na Wizara kufundisha jinsi ya kutuliza na kujikinga ikiwemo kusafisha mazingira kwa kufukia madimbwi na kufweka vichaka.

Pia tumeambiwa kuwa tukipata dalili tuwai panaldo na maji mengi kabla ya kuwai kituo cha afya.

kumekuwepo na taarifa kuwa hili kujikinga na ugonjwa huu ni kutafuna mbegu za papai.

Sasa leo nimepata nafasi kuongea na Dr fulani kuhusu ugonjwa huu na kinga lakini nikamgusia kuhusu matumizi ya mbegu za mapapai na alinishitua sana alipo niambia kuwa matumizi ya mbegu za mapapi yanaweza sababisha Ini kushindwa kufanya kazi ambayo inaweza kuwa hatari zaidi kuliko dengue.

Sasa hii taarifa ya kusaga mbegu za mapapai na kuzinywa na wengine wana sema kuzitafuna.

Sasa nauliza hili kutoa mkanganyiko nikijua hapa kuna madaktari wengi na wanaweza wakaleta na kutupa ufafanuzi zaidi na ninapenda kujua kama hili swala la matumizi ya Mbegu za mapapai limefanyiwa utafiti vizuri lisije kuleta shida kama mafuta ya ubuyu.

Kwanini hili swala la matumizi ya mbegu za mapapai halijatolewa ufafanuzi na Wizara?

UPDATES

Wana jamvi kama mmepata nafasi ya kusikiliza Clouds fm kipindi cha Saturday power break fast kulikukuwa na daktari kutoka wizara ya afya na watu wameuliza maswali likiwemo hili la matumizi ya mbegu za mapapai na majani yake kama tiba mbadala na amesema hili halijafanyiwa utafiti.

Wizara haishauri wananchi kutumia mbegu au majani ya mapapai kama tiba mbadala maana halija fanyiwa utafiti.
Anasema wananchi wasubiri hili swala lifanyiwe utafiti wasitumie.

UPDATES
Madaktari kutoka wizara ya Afya kupitia Clouds Fm wamesema habari zinazo sambazwa kwamba Majani ya mpapai na mbegu za papai kuwa ni tiba mbala au kinga ya ugonjwa wa Dengue ni upotoshaji na wananchi waeupuke.
Source: Power Breakfast of saturday(Clouds Fm) 17-5-2014

Karibuni wana jamvi.
Cc Mzizi mkavu, Riwa gfsonwin.

Karibuni wana Jamvi.
 
Last edited by a moderator:
Dokta flani??? Yeye alifanya utafiti wapi kwamba mbegu ya papai huaribu ini?? Acha uongo.Alafu hao uliwataja sio madaktari.
 
Wabongo mnapenda ulozi!!
Kikombe cha babu hakijawakomesha tu.

We saga hayo mapapai halafu changanya na zanzi viroba viwili !
 
Mbegu za papa mimi binafsi nimeshazitumia kutibu magonjwa mengi especially maraia sugu,ila kwa upande wa dengue sijui,what I know mbegu ya papai ni dawa
 
Dokta flani??? Yeye alifanya utafiti wapi kwamba mbegu ya papai huaribu ini?? Acha uongo.Alafu hao uliwataja sio madaktari.
Hivi unajua kwanini ili swala nime lileta hapa?
Ulitaka nitaje jina la Doctor?
Uongo wangu huko wapi?
Uongo wangu ni kuuliza au kutaka ufafanuzi?
 
binafsi sina majibu juu ya matumizi ya mbegu za papai katika kutibu ugonjwa huu ama wowote ule.

nijuavyo mimi vitu vingi sana ama mimea mingi ina medicinal properties ila sasa jins ya kutumia si kama tutumiavyo. mimea mingi inakuwa na ingredients tofauti nyingine ni medicinal na nyingine ni sumu. matumizi ya mmea wowote ule hata huu mnaouita ALOVERA ni mpaka umepata synthetic ama extract ambayo ndio yenye dawa ila kuutumia kama ulivyo kunaweza kusababisha matatizo makubwa sana kwa mlaji.

mfano neem tree ina quinine ndani yake ila kwasababu iko incoporated na other poisonous substance kinachofanywa ni kuchukua synthetic yake na kuifanya kuwa dawa manake hata uikiextract bado haiji pure quinine.

naweza kusema msile ama msitumie vitu ambavyo pharmacological not proved msije mkaishia kufa ama kupata matatizo zaid.
 
Asante Mwl gfsonwin leo Madaktari kutoka wizara ya afya kupitia Clouds fm wamesema
Watu wasitumie mbegu wala majani ya mapapai na wamesema kusema mbegu za mapapi ni tiba au Majani yake ni upotoshaji na wananchi waepuke.
 
Last edited by a moderator:
Mbegu za papa mimi binafsi nimeshazitumia kutibu magonjwa mengi especially maraia sugu,ila kwa upande wa dengue sijui,what I know mbegu ya papai ni dawa
Mkuu soma updates hapo kutoka wizara ya afya.
 
Last edited by a moderator:
ninachofahamu mizizi yake ni dawa ya tumbo pindi inapochemshwa....
 
Sasa wamesema dawa ni ipi? Hao madaktari kuna lipi waliloliweza? BP haina dawa, kisukari hakina dawa, pumu haina dawa, ukimwi hauna dawa. Kuna lipi walilofanikiwa? Wasitusumbuwe
 
Daaah!afadhali nimejua,mi sasa hv natembea na panadol mfukoni,kichwa kikiuma ghafla huduma ya kwanza najipa mwenyewe
 
Wana jamvi

Ni wazi kuwa Ugonjwa wa dengu
Umekuwa hatari na umesababisha vifo vya watu we hapa nchini hasa Dares-salaam na umeendelea kusambaa mikoa ya Tanga ,pwani na zanzibar.

Pamoja na Wizara kufundisha jinsi ya kutuliza na kujikinga ikiwemo kusafisha mazingira kwa kufukia madimbwi na kufweka vichaka.

Pia tumeambiwa kuwa tukipata dalili tuwai panaldo na maji mengi kabla ya kuwai kituo cha afya.

kumekuwepo na taarifa kuwa hili kujikinga na ugonjwa huu ni kutafuna mbegu za papai.

Sasa leo nimepata nafasi kuongea na Dr fulani kuhusu ugonjwa huu na kinga lakini nikamgusia kuhusu matumizi ya mbegu za mapapai na alinishitua sana alipo niambia kuwa matumizi ya mbegu za mapapi yanaweza sababisha Ini kushindwa kufanya kazi ambayo inaweza kuwa hatari zaidi kuliko dengue.

Sasa hii taarifa ya kusaga mbegu za mapapai na kuzinywa na wengine wana sema kuzitafuna.

Sasa nauliza hili kutoa mkanganyiko nikijua hapa kuna madaktari wengi na wanaweza wakaleta na kutupa ufafanuzi zaidi na ninapenda kujua kama hili swala la matumizi ya Mbegu za mapapai limefanyiwa utafiti vizuri lisije kuleta shida kama mafuta ya ubuyu.

Kwanini hili swala la matumizi ya mbegu za mapapai halijatolewa ufafanuzi na Wizara?

UPDATES

Wana jamvi kama mmepata nafasi ya kusikiliza Clouds fm kipindi cha Saturday power break fast kulikukuwa na daktari kutoka wizara ya afya na watu wameuliza maswali likiwemo hili la matumizi ya mbegu za mapapai na majani yake kama tiba mbadala na amesema hili halijafanyiwa utafiti.

Wizara haishauri wananchi kutumia mbegu au majani ya mapapai kama tiba mbadala maana halija fanyiwa utafiti.
Anasema wananchi wasubiri hili swala lifanyiwe utafiti wasitumie.

UPDATES
Madaktari kutoka wizara ya Afya kupitia Clouds Fm wamesema habari zinazo sambazwa kwamba Majani ya mpapai na mbegu za papai kuwa ni tiba mbala au kinga ya ugonjwa wa Dengue ni upotoshaji na wananchi waeupuke.
Source: Power Breakfast of saturday(Clouds Fm) 17-5-2014

Karibuni wana jamvi.
Cc Mzizi mkavu, Riwa gfsonwin.

Karibuni wana Jamvi.

Tungojee Serikali mpaka lini itoe jibu lake kuhusu hiyo Dawa ya Maradhi ya homa ya Dengue Mbegu ya Mpapai

na majani yake? Wakatai watu wanazidi kufa kwa hayo maradhi ya Homa ya Dengue (Dengue

Fever Virus)? Ukae ukijuwa kuwa huo ugonjwa wahoma ya Dengue ni Virus na Virus matibabu

yake hata huko Ulaya na Amerika hawajatambuwa Dawa yake. Kwaushauri wangu watu

watumie

hayo majani ya Mpapai na Asali kama tiba ya kutibu hayo Maradhi ya homa ya Dengue (Dengue

Fever Virus) Fanya hivi kimatibabu:

TIBA YA DENGUE

Homa ya dengue iko Malaysia, Thailand, Phillipines kwa miaka mingi. Imethibitishwa kwamba wao

wanatibu na kuzuia kwa kutumia Papai ambapo wanatafuna na mbegu zake au majani yake.

Chukua majani ya Mpapai matano, uyaoshe kwa maji ile yawe masafi kisha twanga, au ponda, na endapo una blenda itumie ili uweze kupata

rojo la kijani. Kisha kamua na weka Asali safi ya nyuki vijiko 3. Tumia vijiko 3 vya chakula kwa siku.

Kwa utumiaji huu utajiwekea kinga na hautaugua homa hii. Share habari hii ili wengine wapate

kuelewa.

Pia unaweza kuangalia kwenye internet angalia video hapa

chanzo.
TIBA YA MARADHI YA HOMA YA DENGUE (DENGUE FEVER)
 
Last edited by a moderator:
jamani kuna mdau yeyote anampango wa kwenda kupima UKIMWI anipe kampani ya kwenda kumuona dokta?
Maana peke yangu moyo unanienda mbio!
 
Back
Top Bottom