Mkanganyiko TCU

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
966
Reaction score
540
Ukilog in kwenye website yao Kunatangazo lifuatalo: Dear Applicants,

The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those who did not apply or could not be admitted during first round are adviced to make application by clicking the button labeled "Application 2nd round".If this button is active then make sure you click and start application process for the second round.But if the button is NOT active then you are not required to make any application for the second round.

Cha kushangaza ni kuwa upande user area ni kweli hiyo button ya second round application haiko active lakini ukienda upande wa my profile hiyo button iko active na inakupa options za kuendelea kujaza kozi mpya. huu mkanganyiko wa nini nyie TCU na majina hamtaki kutoa ya waliochaguliwa?
 
mkuu acha presha!! hata mimi jana ilintoke hivyo..sasa fanya hivi,,,eka code ya program yoyote afu uchek itasema nini?? kama itakuba au itakataa!!! jaribu afu tuendelee...
 
mkuu acha presha!! hata mimi jana ilintoke hivyo..sasa fanya hivi,,,eka code ya program yoyote afu uchek itasema nini?? kama itakuba au itakataa!!! jaribu afu tuendelee...

Mbona inakubali hasa hasa kwa kozi ambazo zimetangazwa kuwa zina slots zilizowazi.
 
Hehe, kama umeshapata ud ...thread ako ilkua haina ulazima wa kuepo

kuna ulazima hasa kwa wale ambao hawajui mstakabali wao mpaka sasa. Baadhi ya vyuo wameshatoa majina na TCU wametoa majina ya waliokosa na wale ambao wanamiss information lakini hawajatoja majina ya waliopata. hivyo unaweza kubaki na matumaini ya kupata wakati hujapata hata chuo kimoja
 
ni appliy wakati nimepata ud tatizo lipo kwa wale ambao hawajui hata chuo walicho chaguliwa

kwan una uhakika gan umepata ud? Ud au tcu washatangaza matokeo kwan?? Fanya hivi..kama jina liko kwenye list ya wanaotakiwa kuapply 2nd section just do it no way out!!! Ila kama halipo tulia..
 
kumbuka hata wewe hujajua mustakabal wako mpaka sasa kwan ud au tcu hawajatangaza matokeo...anything can happen...
 
Mbona inakubali hasa hasa kwa kozi ambazo zimetangazwa kuwa zina slots zilizowazi.
Mkuu unatakiwa uwe makini na kitu kimoja.Ufahamu kuwa kuingiza code ya program inakubali ila ukija kuclick save changes ndio itakupa jibu kuwa inakubali au inakataa.Kwahiyo kama ulingiza code tu ikakubali siyo jibu.Ni lazima uende kwenye kuclick save changes baada ya kuingiza code ndio ujue.Ikikubali kusave changes ujue ulikuwa hujachaguliwa ila ikigoma ndio ujue ulishachaguliwa na utapata ujumbe kuwa umechguliwa. Hii selection ya ud sio official mkuu kwahiyo usiiamini sana.
 
wazo zuri!!!!
 
Ndio maana mnafeli mitihani, nani kakwambia uende kwenye my profile. If the intention of TCU was to direct you to go there they should have said so explicitly. As long as you are not directed there do not go there!
 
Dah poleni wakuu me nishaanza maandalizi. UDOM Oyeeeh!
 
..kama jina liko kwenye list ya wanaotakiwa kuapply 2nd section[selection?] just do it no way out!!! Ila kama halipo tulia..
Kijana YAHAYA A.YAHAYA yuko kwenye list ya waliokosa 1st selectio yet yuko kwenye ile ya waliochaguliwa UDOM.Unamshauri afanye nini?
 
Ndio maana mnafeli mitihani, nani kakwambia uende kwenye my profile. If the intention of TCU was to direct you to go there they should have said so explicitly. As long as you are not directed there do not go there!

Mkuu unachoongea ni kweli kabisa hata mimi nafahamu hivyo ila tatizo hii system ya TCU sio ya kuamini sana kwani tangu zoezi hili limeanza imekuwa haieleweki kwani kwa mfano inaweza kukuonyesha kuwa hauko eligible lakini ukweli ni kuwa uko eligible.Huu ni mfano mmoja tu ila kama na wewe uliomba kupitia utaratibu huu wa TCU utakuwa umejionea mambo mengi tu ila kama hukuomba huwezi kuelewa.

Binafsi siwalaumu hata kidogo kwani hii system ina matatizo.TCU walitakiwa watoe majina ya waliochaguliwa ili watu wajue kwa uhakika.
 
Ndio maana mnafeli mitihani, nani kakwambia uende kwenye my profile. If the intention of TCU was to direct you to go there they should have said so explicitly. As long as you are not directed there do not go there!
sio kwamba nina akili nyingi na naweza kufaulu zaidi au kufelishwa kwa sababu ya wenye kutunga mntihani kutoyaelewa hata majibu ya maswali waliyotuga?
 
Jamani mimi naona time will tell kwasababu kuna mengi yanachanganya sana kuhusu hizi selection na tcu wenyewe cui kama ukiwauliza wztakujibu xo tusubiri>>>>>>>>
 
sio kwamba nina akili nyingi na naweza kufaulu zaidi au kufelishwa kwa sababu ya wenye kutunga mntihani kutoyaelewa hata majibu ya maswali waliyotuga?

Mpendwa hujaambiwa uende kwenye my profile. Kwa nini unajipa instructions ambazo hujapewa? Fuata maelekezo. Wangesema kabisa kuwa ukisha login, nenda kwenye my profile, then if......................HAWAJASEMA hivyo.
 
You might be correct but follow instructions. Pamoja na hayo TCU hawajatoa matokeo. haya wanayoweka humu watu ni mambo yasiyominika maana hayatoki kwenye authority. Sawa mtu anaweza akawa ameiba, kesho wakitoa list yao ukawa haumo huwezi kulalamika. Normally, and it is so, list haitolewi kwenye excels! By the way mimi sio mwanafunzi. nilimaliza form six way back in 1975. Nina wajukuu nawaangalizia kama wewe unavyofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…