Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
ni appliy wakati nimepata UD tatizo lipo kwa wale ambao hawajui hata chuo walicho chaguliwa
sasa hapo kaka nakushauri uwachek tcu wenyewe either face to face au kwa simu...nadhan watakupa jib sahihi!!!! ur welcome....Kijana YAHAYA A.YAHAYA yuko kwenye list ya waliokosa 1st selectio yet yuko kwenye ile ya waliochaguliwa UDOM.Unamshauri afanye nini?
kumbuka wao wamesema kuwa second round ikiwa active inamaana unatakuwa ujaze upya. Kama kwenye iko active sehemu moja na sehemu nyingine iko faint nifuate ipi maana kote kuna taarifaMpendwa hujaambiwa uende kwenye my profile. Kwa nini unajipa instructions ambazo hujapewa? Fuata maelekezo. Wangesema kabisa kuwa ukisha login, nenda kwenye my profile, then if......................HAWAJASEMA hivyo.
kumbuka wao wamesema kuwa second round ikiwa active inamaana unatakuwa ujaze upya. Kama kwenye iko active sehemu moja na sehemu nyingine iko faint nifuate ipi maana kote kuna taarifa
Wengine kwenye list ya udom hatupo bt tcu 2meambiwa 2po udom, xa sielewi ni nn.
Hongera sasa wametoa rasmi. Umepata wapi. Unaona fuata maelekezo muda wote. Sasa maelekezo yametoka.