Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
Kawaida 'angu huwa natumia red pen, ukiizoea haina madhara.
Kawaida 'angu huwa natumia red pen, ukiizoea haina madhara.
inawezekana!kawaida katika nyaraka za serikali huwezi tumia kalamu nyekundu - sijui huenda utaratibu umebadilika maana TZ chochote kinawezekana. Nijuavyo Red ni ya Rais, Green ya Auditors na nyeusi na blue matumizi mengine.
Wewe tumia kalamu nyeusi.Hata kwenye maelekezo wameandika fomu hii ijazwe kwa kalamu ya wino mweusi.
ayo maelekezo yako page ya ngapi ktk zile page 5 mkuu? Mbona siyaoni?
Kuhusu kalamu unaweza kutumia blue au Nyeusi na pia kwenye kuweka saini hakuna masharti yeyote unaweza kuandika kawaida au kwa kuchoraa..
Kuhusu kalamu unaweza kutumia blue au Nyeusi na pia kwenye kuweka saini hakuna masharti yeyote unaweza kuandika kawaida au kwa kuchoraa..
Wewe tumia kalamu nyeusi.Hata kwenye maelekezo wameandika fomu hii ijazwe kwa kalamu ya wino mweusi.
kawaida katika nyaraka za serikali huwezi tumia kalamu nyekundu - sijui huenda utaratibu umebadilika maana TZ chochote kinawezekana. Nijuavyo Red ni ya Rais, Green ya Auditors na nyeusi na blue matumizi mengine.
hee kwa hiyo cku hz walimu nao n marais??